UDA-RT sikio la kufa
DAR ES SALAAM Na Waandishi Wetu Kinachoendelea ndani ya taasisi zinazohusika na Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam ni giza nene licha ya maagizo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kutaka mabadiliko ya haraka ya mfumo wa utendaji. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kwamba ubia uliokuwapo baina ya serikali na sekta binafsi…