Waziri Riziki : Wanawake Tanzania wamewezeshwa manunuzi ya umma kielektroniki
Na Salma Lusangi, JakhuriMexia, New York Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewawezesha wanawake kupata fursa za manunuzi ya umma kwa kutoa mafunzo ya kiufundi ili kuongeza uwezo wa zabuni na matumizi bora ya mifumo ya ununuzi wa kielektroniki. Taarifa hiyo…