Mwijuma apongeza Shirikisho la IFPI kuchagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ameupongeza uongozi wa Shirikisho la Kimataifa la Watayarishaji wa Muziki Duniani (IFPI) kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao mkuu uliofanyika leo Jijini Dar es salaam. Mwinjuma ametoa pongezi hizo leo Machi 26, 2024 alipokuwa akifungua mkutano huo…

Read More

Clara Luvanga mfungaji bora Al Nassr

Na Isri Mohamed Mtanzania Clara Luvanga anayekipiga katika klabu ya wanawake ya Al Nassr huko nchini Saud Arabia ameibuka kuwa mfungaji bora wa ligi ya wanawake nchini humo. Luvanga ambaye klabu yake ya Al Nassr ladies imechukua ubingwa wa ligi, amefunga mabao 11 katika mechi 11 alizocheza. Luvanga alijiunga na Al Nassr Ladies katikati ya…

Read More

Bilioni 286 kujenga uwanja wa Arusha, kubeba watu 30000

Na Isri Mohamed Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Dkt. Damas Ndumbaro leo ameongoza zoezi la utiaji saini na mkandarasi unaohusiana na ujenzi wa uwanja mpya wa michezo Jijini Arusha. Waziri Ndumbaro amesema kwa sasa unajengwa uwanja wa kisasa wenye thamani ya Bilioni 286, na utakuwa na uwezo wa kuchukua Mashabiki 30,000. Makubaliano ya serikali na…

Read More

Paccome aitwa timu ya Taifa Ivory Coast

Na Isri Mohamed Shirikisho la Soka la Ivory Coast limetangaza kumuita kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kwenye kikosi cha timu yao ya Taifa. Paccome ameitwa kuchukua nafasi ya kiungo mkabaji wa Nottingham Forest Ibrahim Sangare ambaye amepata majeraha. Ivory Coast itacheza mechi za kirafiki mbili, dhidi ya Benin Machi 23 na dhidi ya Uruguay…

Read More

Samatta aliomba asiitwe Stars

Na Isri Mohamed Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta aliomba kutojumuishwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa. TFF imesema Samatta alizungumza na Kocha Hemed Suleiman, kabla ya kutajwa kwa kikosi hicho na kuomba asijumuishwe katika safari hiyo ya Azerbaijan kwenye michezo ya FIFA Series 2024, Ombi ambalo…

Read More