Jamhuri

Kilio cha gharama kubwa za kusafisha damu sasa kuwa historia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia ,Dodoma Serikali imedhamiria kushusha gharama za kusafisha figo ‘Dialysis’ ili kuwapunguzia mzigo wananchi na hata Serikali. Hayo yamesemwa leo Aprili 5,2023 na Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt.Seif Shekalaghe kwenye semina ya wahariri wa vyombo vya habari iliyoandaliwa na Bohari…

Read More

Rais Samia afanya uteuzi

Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Uwekezaji. Uteuzi huo umeanza tarehe 02 Aprili, 2023; na Amemteua Prof. Ulingeta Obadia Lebson Mbamba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la…

Read More