Uamuzi wa Busara

Uamuzi wa Busara ni jina la kitabu kilichochapishwa na Ofisi ya Katibu Mtendaji Mkuu wa TANU, kimebeba mambo muhimu yaliyoamuliwa kuhusu taifa kabla ya kupata uhuru. Yapo mambo ambayo kama yasingefanyika ingekuwa vigumu kujua historia ya nchi hii ingekuwaje leo. Mathalani, kama TANU ingekataa kushiriki katika Uchaguzi wa kura tatu mwaka 1958, sijui tungekuwa wapi….

Read More

Adui mkubwa wa Simba huyu hapa

Karibu kila mwanachama wa Simba ambaye anaonekana kwenye runinga akizungumzia  mustakabali wa timu hiyo, anakosa hoja nzito yenye mashiko.  Kila anayemkaribia mwandishi wa habari wa kituo cha runinga anaizungumzia Simba kwa uchungu kwa sababu tu timu haijafikia lengo lililokusudiwa. Hajasikika hata mmoja mwenye kuzungumzia uhusiano wa uongozi wa timu bila ya kujali matokeo ya uwanjani….

Read More

Hatua rahisi za kutoa gari bandarini

Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika katika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inavyoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini, gari linavyopokelewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari lake. Ukaguzi baada ya meli kuwasili bandarini Hatua ya kwanza inayofanyika baada ya meli kuwasili bandarini…

Read More