Balile

Mfugale Flyover ni ukombozi

Na Deodatus Balile Kwa muda mrefu ninapokuwa safarini huangalia jambo la kurejea nalo nyumbani. Nimesafiri nchi kadhaa duniani, hivyo nashukuru Mungu kuwa kusafiri huko kumeniongezea uelewa. Katika nchi nyingi, iwe zilizoendelea au zinazoendelea, zimeweka mtazamo na msisitizo mpya katika miundombinu. Nchi nyingi zimebaini kuwa maendeleo ya kweli yanatokana na urahisi wa mawasiliano (Teknohama), miundombinu –…

Read More

Hujuma zatawala UDART, wakamatana

Na Mwandishi Wetu Polisi wanawashikilia wafanyakazi 22 wa Kampuni ya UDA Rapid T inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Simon Group, Simon Kisena, JAMH Wafanyakazi hao wakiwamo wasaidizi wa karibu wa Kisena wanata mbadala wa kuuza tiketi za mabasi ya mwendokasi unaoipotezea m UDART. “Wengi wameanza kukamatwa kama wiki mbili zilizopita. Uongozi w ukaguzi wa ghafla katika…

Read More

Wizi wa kutisha

>>Bima feki za magari zatamalaki kila kona Dar >>Mtandao wajipenyeza Bandari, TRA, SUMATRA >>Yanayopata ajali, kuua wananchi yatelekezwa >>Kamanda wa Polisi aeleza mchongo wote ulivyo   DAR ES SALAAM NA MANYERERE JACKTON Mtandao wa utapeli unaowahusisha wafanyabiashara na watendaji wakuu wa baadhi ya taasisi za serikali umebainika kuwapo kwenye biashara ya usafirishaji wa magari nje…

Read More

MWANZA NA MWANDISHI WETU   Wanafunzi 12 wa Sekondari ya Igokelo, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wamegundulika kuwa na ujauzito mwaka huu, hivyo kulazimika kuwa kando na masomo yao. Mimba hizo zimewalenga zaidi wanaosoma kidato cha kwanza, cha pili, tatu na nne walio na umri chini ya miaka 18. Mbali na na hayo, imegundulika pia…

Read More

‘Mwizi’ wa magari Moshi apelekwa Kenya

Na Charles Ndagulla, Moshi Mfanyabiashara Bosco Kyara na mwenzake Gabriel Mombuli, wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya na Tanzania wamesafirishwa kwenda nchini Kenya kujibu mashtaka ya wizi wa gari. Kyara ni mkazi wa Makuyuni katika Mji Mdogo wa Himo, Wilaya ya Moshi Vijijini, wakati Mombuli ambaye anafanya shughuli za udereva,…

Read More

Asante Mahakama Mkoa wa Mwanza

Miongoni mwa habari tulizozipa kipaumbele kwenye toleo hili ni ile inayohusu uamuzi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza kutupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari wawili waliobambikiwa kesi. Waandishi hao walishitakiwa kwa kile kinachodaiwa kwamba walijifanya ni maofisa wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Nchi za Ukanda wa Joto (TPRI). Hakimu Bahati Chitepo…

Read More