NYERERE 349

Sehemu ya 7 Kama shule iko kijijini (na katika shule mpya zitakazojengwa siku zijazo) itawezekana kwamba shamba la shule liwe karibu karibu na shuleyenyewe. Lakini katika miji na katika shule za zamani zilizo katika vijiji vyetu vyenye watu wengi, huendaisiwezekane kuwa hivyo. Katika hali hiyo shule inaweza kutilia mkazo kazi zingine zenye kuleta uchumi, au…

Read More

Mafanikio yoyote yana sababu (24)

Padre Dk Faustin Kamugisha Kuwajali wateja ni sababu ya mafanikio. Mteja ni kama damu muhimu kwa uhai wa biashara yako au shughuli yako. Kanuni ya msingi kwa yeyote anayehudumia mteja ni mteja kwanza. Mteja ni mfalme. Inaweza kukuchukua miezi kumpata mteja na sekunde moja kumpoteza. Usipowajali wateja wako, mtu mwingine atawajali. Yatafakari maneno ya Mahatma…

Read More

Mapya yabainika St. Florence

*Imejengwa na kuziba barabara ya mtaa *Mmiliki, wanafunzi waishi eneo moja   NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM   Shule ya St. Florence Academy iliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, ambayo mwalimu wake anatuhumiwa kuwadhalilisha kingono wanafunzi wa kike wanne, inadaiwa imejengwa kwenye barabara na hivyo kufunga mtaa. Mwalimu huyo ambaye vyombo vya dola vinamsaka, anadaiwa…

Read More

Bandari ni salama njoo tukuhudumie

Na Mwandishi Maalum Makala ya mwisho katika mfufulizo wa makala za Bandari tuliona jinsi Bandari ya Mwanza ilivyo kiungo muhimu kwa uchumi na biashara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, nchi za Afrika Mashariki na maeneo mengine. Leo katika makala hii tutaona umuhimu wa kufanya biashara katika bandari zenye usalama na mazingira rafiki na yanayovutia…

Read More

Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani

Mchungaji wa Kiprotestanti Docho Eshete aliyekuwa akibatiza watu katika ziwa Ayaba kusini mwa Ethiopia ameuawa na mamba. Mashambulizi yaliyo karibu na mji wa Arba Minch yanahusishwa na kupunguza idadi ya samaki ambacho ni chakula cha Mamba na hivyo kuanza kuvamia watu na kuwaua. Mchungaji, Docho, ndo kwanza alikuwa ameanza kumbatiza mfuasi wa kwanza kati ya…

Read More