Mume aua mke na mtoto kwa kuwanyonga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia mwanaume mmoja (jina limehifadhiwa) mkazi wa kijiji cha Kaloleni, Wilayani Songwe akituhumiwa kwa mauaji ya Editha Msokwa (38) na mtoto wake mchanga wa miezi sita, Esther Emanuel chanzo kikielezwa kuwa ni wivu wa mapenzi baada ya mtuhumiwa kumtuhumu mkewe kumzaa mtoto nje ya ndoa. Mtuhumiwa huyo ambaye kwa…

Read More

Waziri Mkuu akaribisha wawekezaji kutoka China

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa China imewekeza zaidi ya dola bilioni 10 katika maeneo mbalimbali nchini na ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekezaji wengine zaidi. Amesema kuwa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonesha kuwa  kuna zaidi ya miradi 1,134 ambayo imesajiliwa kutoka makampuni ya China na hivyo kuchangia ajira kwa Watanzania….

Read More