
Ole Leikata: Mil 700 za Rais Samia zamaliza ujenzi wa daraja korofi la Kiseru wilayani Kiteto
Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali baada ya ujenzi kukamilika. Daraja hilo lililopewa jina la Mama Samia Lekaita Kiseru katika Kijiji na Kata ya Sunya Wilayani Kiteto…