
ACT-Wazalendo wataka kutungwa sheria ya kilimo
Na Allan Vicent,JamhuriMedia,Tabora Chama cha ACT-Wazalendo kimeshauri Serikali kutunga sheria ya kilimo na kuweka utaratibu wa kodi kama ilivyo katika sekta ya madini ili kuleta tija na ufanisi ikiwemo kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Ushauri huo umetolewa na kiongozi wa chama hicho Zuberi Zitto Kabwe alipokuwa akiongea na mamia ya wanachama na wapenzi wa chama hicho…