Tulinde rasilimali za nchi yetu kwa wivu mkubwa

Septemba 1961, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, alitoa ilani iliyokuja kujulikana kama Ilani ya Arusha kuhusu uhifadhi. Alisema: “Kudumisha uhai wa wanyamapori wetu ni suala linalotuhusu sana sisi sote katika Afrika. Viumbe hawa wa porini pamoja na mapori wanamoishi siyo tu kwamba ni muhimu kama mambo ya kustaajabisha na kuvutia, bali pia kwamba ni sehemu muhimu ya…

Read More

Kwa nini kigugumizi Ngorongoro, Loliondo?

Hivi karibuni kumezinduliwa sinema ya Tanzania Royal Tour. Ni sinema nzuri ingawa dosari kubwa niliyoiona ni kukosekana kwa vivutio vya utalii vingi zaidi. Mathalani, ni dosari kubwa ya kiufundi kwenye sinema hiyo kutoonyesha nyumbu wanavyosafiri au wakati wakiwa wamejaa na kustaajabisha katika maeneo kama ya Ndutu, Nabi, Seronera na kadhalika. Shaka yetu ni kwamba endapo…

Read More

Zuio la picha maeneo haya si la haki

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alipoutangazia umma kufunguliwa kwa Daraja la Tanzanite, nikarejea kwenye kisa kilichotokea siku ya uzinduzi wa ujenzi wake. Siku ya uwekaji wa jiwe la msingi mwaka 2018, Rais John Magufuli, na Spika Job Ndugai, walitaniana. Wasukuma na Wagogo ni watani. Rais Magufuli akasema kukamilika kwa daraja hilo kungewafanya…

Read More

Maneno yametosha tuiokoe Ngorongoro

Kama ilivyotarajiwa, manabii wa vurugu za Loliondo na Ngorongoro kwa ujumla wao wamejitokeza kupaza sauti za uchonganishi wakijitahidi kuhalalisha uongo. Kwa wanaojua habari ya eneo hili hawashangai, maana kelele za ‘tunaonewa, tunapokwa ardhi yetu, tunapigwa nk’ ni filimbi nzuri sana inayoamsha masikio na mifuko ya wafadhili. Ukiona Ngorongoro kumetulia, ujue akaunti za NGOs bado zina…

Read More