
Serikali, mashirika yasiyo ya kiserikali mambo mazuri
Na WMJJWM, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ‘NGOs’ ili kutekeleza majukumu yake na mchango wake kwa jamii. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima wakati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dodoma Septemba 27, 2023 kuelekea Jukwaa la…