
Waandishi wa habari watakiwa kutumia takwimu kwenye habari wanazoziandika
Na Helena Magabe Jamuhuri media Mwanza. Waandishi wa habari wametakiwa kutumia takwimu wanapoandika habari ili kuongeza uelewa katika kazi zao kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya mwaka 2022. Wito huo umetolewa na mgeni rasmi MKuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi ambaye amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amosi Makala kwenye ufunguzi wa mafunzo…