
Wanawake Pwani waaswa kuvunja ukimya na kupinga vitendo vya ukatili
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha WANAWAKE mkoani Pwani wameaswa kuvunja ukimya na kuungana kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto na kuwaasa kuwakemea watoto wao kujiepusha kwenda vibanda umiza ambavyo vingine huwa vikionyesha video zisizo na maadili. Akizungumza katika hafla ya Generation Queen’s (Mwanamke Sahihi) kukabidhi baiskeli 15 zenye thamani ya milioni sita kwa watoto wenye ulemavu Kibaha…