
Biteko aagiza mradi wa Kabanga Nickel kuanza ulipaji fidia
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko ameiagiza Kampuni ya Tembo Nickel inayomiliki mradi wa uchimbaji Madini ya Nikeli kulipa fidia wananchi watakaopisha eneo la mradi ambao uthaminishaji wa maeneo yao umekamilika. Dkt.Biteko ametoa agizo hilo alipotembelea mradi wa Kabanga Nikeli katika ziara iliyolenga kukagua hatua iliyofikiwa katika uendelezaji wa mradi husika katika…