JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Rais Samia amefungua milango kwa wahisani, wadau kutoa huduma – Mzava

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kufungua milango kwa wahisani na wadau wa maendeleo kupitia Sekta binafsi ili kumuunga mkono jitihada za Serikali kutoa huduma kwa watanzania. Kiongozi wa Mbio…

Miradi 15 yenye thamani ya bilioni 3.1 kupitiwa na mwenge wa uhuru, 2024 Kibaha Mji

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Jumla ya Miradi 15 yenye thamani ya bilioni 3,120,194,399.98 inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru kwenye Halmashauri ya Mji Kibaha utakapokimbizwa siku ya Alhamisi tarehe 2 Mei,2024 Mwenyekiti wa Sherehe za Mwenge Wilaya ya Kibaha…

TAKUKURU yawahoji 11 kwa kuficha msaada wa chakula Rufiji, Kibiti

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya kuficha chakula cha waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji na Kibiti…