Miongo miwili ilivyoipaisha TMDA

Na Mwandishi Wetu Jamhuri Media, Dar es salaam Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata kwa kipindi cha miaka 20 tangu kuazishwa kwake. Tangu ianzishwa 2003 kama taasisi hadi 2023 TMDA imepiga hatua mbalimbali za mafanikio na kuifanya kuwa kinara barani Afrika katika umahiri na utoaji huduma na kuwa kituo cha…

Read More

Kapinga: Desemba 2023 vijiji vyote 758 Mtwara vitakuwa na umeme

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imesema hadi kufikia Desemba 2023 vijiji vyote 758 mkoani Mtwara vitakuwa vimepata umeme. Akizungumza mkoani Mtwara, tarehe 21 Septemba, 2023, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema katika vijiji hivyo vingi vilikuwa havina umeme, hivyo watapeleka umeme katika maeneo hayo yote. Amesema lengo la ziara yake hiyo mkoani humo ni kujionea…

Read More

TANESCO watakiwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa miundombinu ya umeme mji wa Serikali Mtumba Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Shirika la Umeme Nchini TANESCO limetakiwa kukamilisha kwa wakati mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya umeme wa chini unaoendelea katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Hayo yamesemwa leo Tarehe 21 Septemba 2023, na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi…

Read More