Silaa: Kuweni tayari kwa mabadiliko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuwa tayari kwa mabadiliko yenye lengo la kuiboresha sekta ya ardhi. Silaa amesema hayo leo tarehe 21 Septemba 2023 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na watumishi wa sekta ya ardhi katika mikoa…

Read More

Mradi wa kutibu maji taka wazinduliwa Nzega

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Abdallah Shaib Kaim amezindua mradi wa ‘Bwawa la Kutibu Maji taka’ uliotekelezwa na serikali kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Nzega (NZUWASA) kwa gharama ya zaidi ya sh bil 1.5. Akisalimia wananchi baada ya kukagua mradi huo uliopo Wilayani…

Read More

Waziri Kairuki aitaka TAWA kuongeza ukusanyaji mapato

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ameitaka menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inaongeza makusanyo yake ya mapato ya ndani zaidi ya lengo iliyojiwekea la kukusanya shilingi bilioni 78.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Kairuki ameyasema hayo leo tarehe 20 Septemba,…

Read More