
Prof. Kabudi: Sh trilioni
360 haikuwa kodi halali
*Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia*Afafanua suala hilo limekwisha,atamtafuta Mwigulu amweleze Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mpatanishi Mkuu wa Serikali (Chief Government Negotiator), Profesa Palamagamba Kabudi, amesema Dola bilioni 190 za Marekani sawa na Sh trilioni 360 walizotakiwa kulipa Kampuni ya Acacia Julai, 2017 kama kodi, malimbikizo na faini ya ukwepaji kodi, hakikuwa kiwango…