
Asante Rais Samia, Waziri Nape
Na Deodatus Balile, Zanzibar Wiki iliyopita imekuwa wiki ya furaha kwa tasnia ya habari. Ni wiki ya furaha baada ya Alhamisi iliyopita Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, kutangaza kuyafungulia na kuyapa leseni magazeti manne; Mwanahalisi, Tanzania Daima, Mawio na Mseto. Magazeti haya yamefungiwa kati ya mwaka 2016 na 2018. Tanzania…