
TASWA Media Day bonanza kufanyika Desemba 9,2023
Tamasha maalum kwa ajili ya wadau mbalimbali kutoka vyombo vya habari ‘TASWA Media Day Bonanza’ linatarajiwa kufanyika Desemba 9, 2023. Lengo la bonanza hilo linaloandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ni kuwaweka pamoja kubadilishana mawazo na kufurahi, waandishi wote wa habari bila kujali ni wa siasa, michezo, uchumi, afya na mambo…