
Al Hilal wamuwinda Mbappe kwa dau la Pauni Milioni 259
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia imeweka ofa ya kuvunja rekodi ya pauni milioni 259 kumnunua mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe. Nahodha huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 24, ambaye amebakiza mwaka mmoja kwenye kandarasi yake, amekataa kusaini mkataba wa nyongeza katika klabu ya mabingwa hao wa…