Category: Michezo
Mashindano ya Ligi ya Muungano yaimarisha undugu, umoja na mshikamano kwa Watanzania
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) imesema itaendelea kutumia sekta ya michezo ili kujenga mahusiano ya undugu, ujamaa, umoja na mshikamano ili kuenzi misingi ya Muungano. Rai hiyo imetolewa leo Ijumaa (Januari 23, 2026) na Katibu Mkuu wa…
Yanga yatwaa Kombe la Mapinduzi Cup kwa penati 5-4 dhidi ya Azam FC
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC (Yanga), wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa NMB Mapinduzi Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 5–4 dhidi ya Azam FC, katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Januari 13,…
Gabon yatimua timu nzima kufuatia matokeo mabaya ya AFCON
Waziri wa michezo wa Gabon ametangaza kupigwa marufuku kwa wachezaji wakongwe Pierre-Emerick Aubameyang na Bruno Ecuele Manga, kusimamishwa kwa timu nzima ya taifa, na kufutwa kazi kwa benchi la ukufunzi. Hii ni kufuatia matokeo mabaya ya Gabon katika Kombe la…
Serikali SMZ yabadili jina la mashindano ya Mapinduzi Cup, sasa kujulikana NMB Mapinduzi Cup 2026
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa kusaini mkataba mnono wa udhamini wa Mashindano ya Mapinduzi Cup , unaobadili rasmi jina la michuano na sasa kuitwa NMB Mapinduzi Cup 2026. NMB Mapinduzi Cup 2026 inashirikisha timu…
Morocco yaanza Afcon 2025 kwa ushindi dhidi ya Comoros
Wenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, Morocco, wameanza kampeni yao ya kutafuta taji la pili la barani Afrika kwa ushindi wa mabao 2 – 0 dhidi ya Comoros katika mechi ya ufunguzi iliyochezwa mjini Rabat. Atlas Lions…
Wanamichezo wahamasishwa kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia
Wanamichezo nchini wamehamasishwa kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia ili kufikia lengo la Serikali la mwaka 2034 asilimia 80 ya Watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia. Wito huo umetolewa na Bi. Jaina Msuya, mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa…





