Tuzo za ZIFF 2023 kutolewa leo

Na Andrew Chale, JamburiMedia, Zanzibar WAZIRI wa Nchi Ofisi wa Makamu wa pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Hamza Hassan Juma anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa tuzo za Tamasha la Filamu la Kimataifa la Nchi za Jahazi [ZIFF] kwa mwaka 2023. Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa Tamasha hilo la…

Read More

Mandonga atambulisha ngumi yake mpya ya ‘Kingugi’

Na Eleuteri Mangi Bondia machachari Karim Said maarufu Mandonga Mtu kazi ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo ametangaza ngumi mpya iitwayo ‘Kingugi’ anayotarajia kuitumia kwenye mchezo wa marudiano na Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya. Mandonga ametangaza ngumi hiyo Juni 29, 2023 kwenye maonesho ya 47 ya Kimataifa Sabasaba ambayo yanaendelea jijini…

Read More

Prof.Lumumba awataka wasanii vijana kutumia Jukwaa la ZIFF katika ubunifu wa filamu

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar. MWANAMAJINUNI wa Afrika, Profesa Patric Loch Otieno Lumumba ambaye pia akifahamika kama Prof. PLO Lumumba ametoa rai kwa sanii Vijana wa Afrika hususani Afrika Mashariki kutumia jukwaa la tamasha la Nchi za Jahazi (ZIFF) katika kuandaa filamu za ubunifu na zenye tija. Prof. PLO Lumumba ameyasema hayo katika ujumbe wake…

Read More

JK akutaka na wanariadha Watanzania mjini Boston, Marekani

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na wanariadha Gabriel Geay na Wence Tarimo walioshiriki katika Mashindano ya Marathon yaliyofanyika Boston, Marekani Aprili 17, mwaka huu.  Gabriel Geay aliibuka mshindi wa pili katika mashindano hayo Rais Mstaafu amempongeza Gabriel Geay kwa ushindi mkubwa na kwa kupeperusha vyema bendera ya Tanzania.  Pamoja na wanariadha hao, walikuwepo…

Read More