Ibaada ya kumuaga Costa Titch yaahirishwa

Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Ibada ya kumbukumbu ya Mwanamziki Constantinos Tsobanoglou maarufu “Costa Titch” aliyefariki jukwaani, iliyotarajiwa kufanyika Alhamisi Machi 16, 2023 imeahirishwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia ya mwanamuziki huyo imeelezwa kuwa, kuchelewa huko kumetokana na baadhi ya mashabiki waliopewa jina la “Titch Gang”, ndani  na nje ya Afrika Kusini kushindwa…

Read More

Diamond Platnumz atangaza kuhamia Yanga

Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz ambaye ni msanii wa Bongo Fleva nchini,ametangaza kuhamia timu ya Yanga SC amedai kumfuata msemaji Haji Manara. Awali Diamond alikuwa akishabikia Simba SC kabla ya Manara kuondoka kwa wekundu hao wa Msimbazi. Katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Manara iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Diamond Platnumz amethibitisha kuwa amehamia…

Read More

Rais Samia amwaga mamilioni kwa wasanii

Jumla ya shilingi milioni 170 zimetolewa katika mkupuo wa kwanza ambapo msanii wa chini amepata shilingi milioni 20 na wa juu amekopeshwa kiasi cha shilingi milioni 50. Akikabidhi hundi hizo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mohamed Mchengerwa amewataka wasanii na wadau wa kazi za sanaa kujitokeza kwa wingi kuomba kukopeshwa fedha kutoka kwenye mfuko huo…

Read More

Dulla Makabila kikaangoni BASATA

Msanii wa Singeli, Dulla Makabila ametakiwa kufika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili kujadili wimbo wake mpya uitwao ‘Pita Huku’ ambao kwa sasa unafanya vizuri kwa kuwa na watazamaji wengi katika mtandao wa YouTube. Makabila amepata barua wito huo kutoka kwa Katibu Mtendaji, Dkt. Kecnon Mapana ambayo imesomeka kwamba “BASATA Inapenda kuwajulisha kwamba kutakuwa…

Read More