
Serikali, wadau waimarisha ushirikiano utoaji huduma ya afya ya akili
Na WMJJWM, JamhuriMedia, Arusha Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeimarisha uratibu na ushirikiano katika kutekeleza shughuli za utoaji wa huduma ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia (MHPSS) nchini. Hayo yamesemwa na Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii Baraka Makona akifunga kikao cha kikosi kazi cha wataalam wa utoaji Huduma ya afya ya…