Serikali:Dawa za Tanzania ni bora na salama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mfamasia Mkuu wa Serikali Daud Msasi amewahakikishia Watanzania kwamba dawa zinazozalishwa nchini zimethibitishwa na zina ubora unaostahili. Msasi ametoa kauli hiyo leo Aprili 6,2023 kwenye semina kwa wahariri wa habari nchini iliyoandaliwa na Bohari ya Dawa (MSD) ambapo baadhi ya wahariri walitaka kufahamu ubora wa dawa zinazozalishwa nchini iwapo zina…

Read More

Serikali: Hakuna wagonjwa wapya wa Marburg

Na WAF –Kagera,JamhuriMedia,Bukoba Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia Machi 25,2023 hakuna wagonjwa wapya wa Marburg walioripotiwa licha ya kupokea tetesi sehemu mbalimbali mkoani hapa. Hayo ameyasema jana alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari nakusema kuwa ugonjwa huo unaendelea kudhibitiwa ambapo ameambatana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Zabron Yoti…

Read More