
CCM haitaacha kuhoji watendaji wa Serikali
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema CCM hakiko tayari kuacha kuhoji na kufuatilia kwa ukaribu miradi mbalimbali ya kimaendeleo na ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali. Chongolo ametoa Kauli hiyo leo Januari 30, 2023 katika Kata ya Dumila, Wilaya ya Kilosa aliposhiriki kikao cha Shina namba 10, ikiwa ni Siku ya tatu…