Uamuzi wa Canada dhidi ya Kyi ni sahihi

Kama hujamsikia Aung San Suu Kyi, fungua macho upate somo la unafiki mkubwa unaotawala ulimwengu wetu enzi hizi. Su Kyi ni kiongozi wa Myanmar mwenye wadhifa unaofanana na wa waziri mkuu ambaye ni maarufu kama mwanaharakati aliyepinga utawala wa kijeshi wa nchi yake kwa miongo kadhaa na kusababisha kutumikia kifungo cha nyumbani kwa karibia miaka…

Read More

Viatu havibani, havipwayi vinatosha Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sabab

Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sababu, nimekitumikia chama changu muda mrefu, nimeona niachie damu mpya. Nimependa nipumzike, lakini hayo mengine yanayoandikwa ni ya kupuuza.” Ni kauli thabiti iliyojaa hiari na uungwana; na iliyoshiba haki usawa na ahadi kutoka moyoni mwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (2012- 2018), Abdulrahman Kinana, alipozungumza na…

Read More

Dodoma yakabiliwa na upungufu wa nyuma

NA EDITHA MAJURA Dodoma Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kuandikwa, amesema wenye uwezo wa kujenga nyumba za kupangisha, kufanya hivyo mkoani Dodoma ili kusaidiana na Serikali kuwapatia  makazi bora watumishi wanaohamia mjini humo. Kuandikwa amesema licha ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kumiliki nyumba 960 za kibiashara mkoani humo, hawajakidhi mahitaji ya…

Read More