Serikali yazungumzia malalamiko ya watumiaji wa bidhaa ya saruji

Serikali imezugumzia malalamiko ya watumiaji wa bidhaa ya Saruji aina ya Hauxin inayozalishwa na kiwanda cha Maweni Limestone Limited kilichopo Mkoani Tanga kuhusu upungufu wa uzito wa bidhaa hiyo. Naibu Waziri wa uwekezaji,viwanda na biashara Exaud Kigahe (Mb) ameyabainisha hayo leo jijini Dodoma wakati akieleza mwenendo wa bei za bidhaa muhimu nchini kwa April,2023 ambapo…

Read More