
Namoto aelezea mafanikio na changamoto za wamachinga 2022
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASO),kimeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa jitihada za kuwaboreshea mazingira ya kufanya kazi zao ikiwemo kuwaweka kwenye mpangilio mzuri pamoja na kujenga masoko ya kisasa. Akizungumza na Jamhuri Mwenyekiti wa KAWASO Namoto Yusufu Namoto, amesema kuwa mwaka 2022 wamachinga wamepata mafanikio lukuki…