Mabadiliko tabia nchi yachangia kuua mifugo,wanyamapori Longido

Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Mabadiliko ya tabia nchi,yameua mifugo na wanyamapori zaidi ya 38,72 kwa kukosa maji na malisho, wilaya ya Longido mkoa wa Arusha. Afisa Mifugo na Mabadiliko ya tabia nchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido,Nestory Daqarro alitoa taarifa hiyo, katika mkutano wa uhakiki wa taarifa(validation meeting) ulioandaliwa na taasisi ya wanahabari ya usaidizi wa…

Read More

Kinana apokea lundo la malalamiko ya wavuvi ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mwanza MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea malalamiko 13 ya wavuvi wa samaki katika Ziwa Victoria ikiwemo utitiri wa kodi pamoja na mateso wanayoyapata wavuvi wanapokuwa ziwani ambapo yote hayo ameahidi kuyafikisha katika mamkala husika kwa ufumbuzi. Aidha amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kutatua…

Read More