
NEMC yateketeza tani 44.4 ya mifuko iliyopigwa marufuku
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeteketeza vifungashio tani 44.4 ambavyo vimepigwa marufuku kwa matumizi, ambapo uteketezaji huo umefanyika katika kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika zoezi hilo ambalo limefanyika leo Septemba 14,2022 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe amesema katika tani 44.4 za…