
Siasa zenu zisiharibu uhifadhi Ngorongoro
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anashutumiwa na vyombo vya dola kwa kauli zake zinazowachochea wananchi kutotii mamlaka za nchi na sheria za uhifadhi. Akiwa wilayani Ngorongoro amewataka wananchi wanaohama kwa hiari kutotii mpango huo, akisema hawana sababu ya kuhamishwa hapo kupisha uhifadhi. Sisi kwa upande wetu tunaona kuwa pamoja…