Ole Leikata: Mil 700 za Rais Samia zamaliza ujenzi wa daraja korofi la Kiseru wilayani Kiteto

Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa na Kibagwa mkoani Dodoma limepatiwa ufumbuzi wa kudumu na serikali baada ya ujenzi kukamilika. Daraja hilo lililopewa jina la Mama Samia Lekaita Kiseru katika Kijiji na Kata ya Sunya Wilayani Kiteto…

Read More

Jenista awataka wananchi Kata ya Mtyangimbole Songea kumchagua mgombea udiwani CCM

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Madaba Songea. Wananchi wa Kata ya Mtyangimbole, Kijiji cha IKalangiro kilichopo Wilaya ya Songea Vijijini wametakiwa kutofanya makosa katika marudio ya uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo utakaofanyika Septemba 19, mwaka huu na kuombwa kumchagua mgombea anayetokana na Chama cha Mapinduzi, Twahibu Diwani Ngonyani. Kauli hiyo imetolewa na mbunge wa…

Read More

Siasa zenu zisiharibu uhifadhi Ngorongoro

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anashutumiwa na vyombo vya dola kwa kauli zake zinazowachochea wananchi kutotii mamlaka za nchi na sheria za uhifadhi. Akiwa wilayani Ngorongoro amewataka wananchi wanaohama kwa hiari kutotii mpango huo, akisema hawana sababu ya kuhamishwa hapo kupisha uhifadhi. Sisi kwa upande wetu tunaona kuwa pamoja…

Read More