JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Waziri Riziki : Wanawake Tanzania wamewezeshwa manunuzi ya umma kielektroniki

Na Salma Lusangi, JakhuriMexia, New York Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewawezesha wanawake kupata fursa za manunuzi ya umma kwa kutoa mafunzo ya kiufundi ili…

Dk Biteko aongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa China

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong ambaye yupo nchini kwa ziara ya Siku Tatu. Akiwa nchini, Mhe. Guozhong anatarajiwa…

Mafanikio ya ziara ya Rais Samia aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na kuwaelezea Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo…

ACT Wazalendo walia ukatili kwa mtoto wa kike

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa Serikali na vyombo vyake vya dola kupunguza muda wa uendeshaji wa kesi za ukatili dhidi ya watoto na wanawake. Chama hicho kimependekeza muda wa uendeshwaji wa…