
Serikali yaridhia uamuzi wa Indonesia kukufua shughuli za kituo cha FARTC Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia uamuzi wa Serikali ya Indonesia wa kufufua shughuli za Kituo cha Mafunzo ya Kilimo kwa Wakulima Vijini (FARTC) kilichopo Mkindo mkoani Morogoro. Rais Samia amesema hayo leo akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Joko Widodo aliyepo nchini kwa ziara ya kikazi…