Archives for Habari za Kitaifa - Page 4

Habari Mpya

Mwinyi aibadili Z’bar

*Ajibu maswali magumu ya waandishi, afanya uamuzi mgumu kwa ujasiri *Afafanua uchumi wa bluu, awatoa wasiwasi wakaazi nyumba za maendeleo *Akabidhi visiwa 10 kwa wawekezaji, wanaoatamia ardhi kunyang’anywa *Asema mawaziri wanaoogopa waandishi inaashiria hawajafanya lolote Na Deodatus Balile, Zanzibar Rais…
Soma zaidi...
Habari Mpya

Washinikiza Sambi aachiwe

#Waandamana hadi Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni #Ufaransa, Ulaya, Uarabuni maelfu wasaini ‘petisheni’ NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Mamia ya wananchi ndani na nje ya Muungano wa Visiwa vya Comoro wamejitokeza kushinikiza kuachiwa huru kwa aliyekuwa Rais wa Muungano…
Soma zaidi...
Habari Mpya

Bandari sikio la kufa

Kikundi chajipanga kuhujumu mabilioni kupitia mikataba, zabuni zageuzwa kichaka cha rushwa DG Eric, Mwenyekiti wa Zabuni wazima mchongo wa Sh bil. , cha juu kimeongezwa makao makuu Rais Samia afyatua waliozembea, uchunguzi mkali waanza kubaini wachotaji Ujenzi wa meli kichaka…
Soma zaidi...
Habari Mpya

Mangula: Rais aungwe mkono

Akemea upotoshwaji wa masuala nyeti ya kitaifa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bara, Philip Mangula, amesema ni kawaida kwa kiongozi mahiri kuanzisha au kukamilisha miradi ya maendeleo hata iliyo nje ya ilani ya uchaguzi ya chama chake kwa…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons