JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Uzee siyo hoja, bado nina uwezo – Wasira

Chama Cha Mapinduzi kimesema hakitayumbishwa na hoja dhaifu za upinzani kuhusu maendeleo huku ikiutaka upinzani kujipanga vema kuhimili kishindo chake. Aidha, Makamu Mwenyekiti wa CCM – Bara, Stephen Wasira ametoa angalizo kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)…

Lissu, Wassira patachimbika

*Ni kuhusu mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu *Lissu asema yuko tayari kukutana na Rais Samia kuzungumzia hilo *Wassira: Bunge linakaribia kuvunjwa, hakuna muda wa mabadiliko *Mzee Kassori akosoa yaliyofanyika Mkutano Mkuu Maalumu CCM Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es…

CCM Tabora wakunwa na uteuzi wa Rais Samia, Mwinyi

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani hapa kimeunga mkono uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwapitisha Dkt Samia Suluhu Hassan, Dkt Hussein Mwinyi na Dkt Nchimbi kuwa wagombea Urais kupitia CCM mwaka huu. Pongezi hizo…

Wasira: Uamuzi wa Mkutano Mkuu umezingatia katiba ya CCM

*Awapa darasa wanaodai sababu ya CCM kupitisha wagombea urais *Asema yupo tayari kuwapa somo waifahamu vyema katiba ya chama   Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliomchagua…

Serikali yaipa tano NMB kutenga bil. 100/- kukopesha wasambazaji nishati safi

SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Mfuko Maalum uliotengewa Sh. Bilioni 100 za kukopesha wasambazaji na wauzaji wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania, na kwamba Serikali itaingia kifua mbele katika Mkutano Mkuu wa Nishati wa Wakuu wa Nchi…

ACT Wazalendo yampongeza Lissu kwa ushindi

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amempongeza Tundu Lissu kwa kushinda nafasi ya uenyekiti wa Chadema baada kumshinda mstaafu Freeman Mbowe. Tundu Lissu amepata ushindi wa kura 513 sawa na asilimia 51.5 Odero Charles Odero amepata kura 1…