Wateja wa ulimwengu mpya wa biashara

Katika makala mbili zilizopita nilikuwa nikichambua kuhusaina na ulimwengu mpya wa biashara. Nilieleza kwa kina namna uchumi ulivyohama kutoka viwanda kwenda taarifa na huduma, na hivyo kuathiri namna biashara zinavyofanyika. Katika makala zile mbili nilieleza kwa sehemu kubwa kuhusu taarifa zinavyoathiri mienendo ya biashara. Katika makala hii leo ninamalizia kwa kuangalia uchumi wa huduma lakini…

Read More