
Nyundo ya Wiki


Yametimia vigogo Dar
*Wakabidhiwa Takukuru kwa mahojiano *JAMHURI yadhihirisha umahiri wake licha ya Mkurugenzi wa Jiji kutishia kulishitaki kwa kuandika habari hiyo DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye yametimia. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwasimamisha kazi vigogo wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kupisha uchunguzi wa tuhuma…

Mkuu wa Gereza kortini kwa mauaji
*Afikishwa pamoja na askari magereza wawili *Akiwa mahabusu anatumia simu kutoa maelekezo ya kikazi Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale, Gilbert Sindani na askari magereza wawili; Sajenti Yusuph Selemani na Koplo Fadhili Mafowadi wamefikishwa mahakamani mkoani Lindi kwa tuhuma za mauaji ya mfungwa. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani hivi…

Yasiyosemwa Ngorongoro
Ngorongoro Na Mwandihi Wetu Muda ni saa 4 asubuhi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella, Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mangwala, wakiwa na viongozi mbalimbali wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaelekea katika Kijiji cha Kimba kilichoko ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Kwa kuwa ni mara ya kwanza…

Wanyama albino wazua gumzo
*Pundamilia, nyati, twiga albino waonekana Tarangire, Katavi *Wananchi wafurahi, wadhani ni kivutio kipya cha utalii *Wataalamu wapinga, wadai kuna tatizo kubwa na la hatari MARA Na Anthony Mayunga Nyati mweupe ameonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kuwa kivutio kwa wengi, wakidhani kuwa ni aina mpya ya wanyama inayopatikana eneo hilo pekee. JAMHURI…

Mkandarasi mwendokasi pasua kichwa
DODOMA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, amelia bungeni wakati akihoji kwa nini Kampuni ya Syno Hydro inapewa zabuni za kujenga miradi mbalimbali ukiwamo wa barabara ya mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam huku mingine ikijenga chini ya kiwango. Kauli hiyo ameitoa Mei 23, 2022 wakati akitoa…