
Mabadiliko tabia nchi yachangia kuua mifugo,wanyamapori Longido
Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Mabadiliko ya tabia nchi,yameua mifugo na wanyamapori zaidi ya 38,72 kwa kukosa maji na malisho, wilaya ya Longido mkoa wa Arusha. Afisa Mifugo na Mabadiliko ya tabia nchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido,Nestory Daqarro alitoa taarifa hiyo, katika mkutano wa uhakiki wa taarifa(validation meeting) ulioandaliwa na taasisi ya wanahabari ya usaidizi wa…