Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Spika wa Bunge la Zambia, Mhe. Nally Mutti wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada leo Agosti 26, 2022

By Jamhuri