
Rais Samia asikia kilio cha wakazi Usimba
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kaliua RAIS wa Awamu ya Sita Dk Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha ukosefu wa shule ya msingi kwa wakazi wa Kijiji cha Magele kata ya Usimba Wilayani Kaliua kwa kuamua kuwapelekea zaidi ya sh mil 360 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya kisasa. Wakizungumza na gazeti hili…