JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Polisi Arusha wapewa pikipiki 20 kuimarisha usalama

Na Mwandishi Wetu- Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha leo Januari 24, 2025 limekabidhiwa pikipiki 20 ambazo zimetolewa na Taasisi ya Leopard Tours kwa ajili ya kuimarisha usalama mkoani humo. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul…

Tanzania, UN tourism zasaini makubaliano ya kongamano la kimataifa la utalii wa vyakula barani Afrika

Na Mwandishi Wetu- Madrid, Hispania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UN Tourism) zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Kongamano la Pili la Kikanda la Utalii wa…

Maelfu watakiwa kuhama baada ya moto mpya kuzuka Marekani

Maelfu ya wakazi kusini mwa mji wa California wametakiwa kuondoka baada ya kuzuka moto mpya wa nyikani, kaskazini mwa Los Angeles, na kusambaa takriban kilomita za mraba 41 katika muda mfupi. Moto huo uliopewa jina la Hughes Fire, unawaka karibu…

Marekani yaahidi kuunga mkono Serikali ya Israel

Waziri  wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ameendelea kuthibitisha uungaji mkono thabiti kwa Israel, siku chache baada ya kusitishwa kwa mapigano katika Ukanda wa Gaza. Rubio alizungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na kumuhakikishia kwamba Marekani itaendelea kuiunga…

ZEEA yaanza kutoa mikopo kidijitali, maafisa washauriwa kuwa makini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar MIKOPO kwa njia ya kidijitali inayoanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imeelezwa kuwa itawasaidia wananchi kupata fedha kwa wakati na kuendeleza biashara zao ili kujikwamua Kiuchumi. Wakati hatua hiyo ikianza maafisa…

Wasira awashukia waliopora ardhi ya vijiji

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira, ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuhakikisha ardhi ya vijiji iliyoporwa kinyume cha sheria, inarudishwa kwa wananchi. Wasira alitoa maagizo hayo Januari 23, 2025 jijini Dodoma,…