Tanzania yapokea ugeni kutoka China waonesha nia ya kuwekeza
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imepokea ugeni wa jopo la wataalamu likiwa limeambatana na wawekezaji na viongozi wa Serikali kutoka Jimbo la Changzhou Nchi China ambao wameonesha nia ya kuwekeza kwa kujenga viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo power tila,vifaa vya matrekta,vifaa tiba, bidhaa za umeme,water pump. Akizungumza leo Machi 27, 2024 jijini Dar…