JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Elimu ya udhibiti yawafikia wenye ulemavu Tabora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi, leo, tarehe 6/10/2026, imekutana na wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania…

Nyongo: Kiwanda cha Vilipuzi Kisrawe kupunguza uagizaji nje

Na Mwamvua Mwinyi, Kisarawe MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesema uwepo wa kiwanda cha baruti na vilipuzi cha Ideal Detonators Tanzania Limited wilayani Kisarawe utasaidia kupunguza gharama na utegemezi wa uagizaji wa bidhaa hizo kutoka nje ya nchi….

Benki ya NMB yapiga hodi London

Benki ya NMB, Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza Yaleta Pamoja Jukwaa La Uwekezaji London. Kama Muandaaji wa Kimkakati wa Jukwaa la Uwekezaji Tanzania 2026 (Tanzania Investment Forum 2026), Benki ya NMB itakua Uingereza kuungana na wawekezaji wa kimataifa, watunga sera…

Waziri Mkuu kufungua Jukwaa la Uwekezaji Tanzania nchini Uingereza

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana…

Tuwaepushe wanafunzi dhidi ya ukatili

Na Jeshi la Polisi Dodoma Wanafunzi wa darasa la nne shule ya msingi Franco Badian iliyopo Mpwapwa mkoani Dodoma, wametakiwa kuripoti vitendo vya ukatili wa kijinsia wanavyofanyiwa ama kukutana navyo ili hatua za kukomesha vitendo hivyo zichukuliwe. Akitoa elimu hiyo…

Makamu wa Rais afungua mkutano wa Chama cha Wasimamizi wa kodi wa Jumuiya ya Madola

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ni muhimu teknolojia kuwa nyenzo muhimu ya kusaidia katika kukusanya mapato ya ndani kwa ufanisi na haki ili nchi ziweze kufadhili shughuli zao na vipaumbele vya maendeleo…