
Mfumuko wa bei za bidhaa washuka nchini
Na Wilson Malima, JAMHURI MEDIA Mfumuko wa bei za bidhaa na huduma chini Tanzania umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia Februari 2023 tofauti na ilivyokuwa asilimia 4.9 kwa mwaka ulioshia Januari 2023. Mfumuko wa bei wa taifa hupima kiwango cha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya…