
Kiria achaguliwa mwenyekiti CCM Simanjiro
Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Simaniiro Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Manyara, Kiria Ormemei Kurian Laizer amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Simaniiro. Msimamizi wa uchaguzi huo ambalo umefanyika jana Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Sizaria Makota ametangaza matokeo hayo kuwa Kiria amepata kura 315. Amesema Anna Shinini ameshika nafasi ya pili kwa…