Bunge ni muhimili muhimu katika kuhakikisha maslai na mahitaji ya wana nchi yana shughurikiwa na serikali. Serikali ina mihimili mitatu yaani bunge,mahakama na serikali kuu. na kila muhimili una mamlaka na majukumu yake kwa mujibu wa sheria,miongozo, na sera za nchi.

Hivi sasa vikao vya bunge vinaeendelea wabunge amabao ni wawakilioshi wa wananchi wakieendelea kujadili bajeti kuu ya serikali na kupitisha yaani makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2026, 2027.

Hichi nikikao muhimu sana cha bunge amabacho kina toa mwelekeo wa matumizi ya serikali na Uchumi wa nchi kwa kuzingatia vipaumbele vya maeendeleo katika majimbo ,wizara na taasisisi za serikali ujumla.

AINA ZA WABUNGE

Kwanza ifahamike wa bunge wote wana patikana kwa mujibu wa sheri za nchi hivyo wote wana wajibu wa Pamoja katika kuhakikisha wana isimamia na kuishauri serikali ili kufikia malengo ya taifa ya kimaeendeleo katika nyanja zote yaani kiuchumi,kijamii, kisiasa na kiutamaduni.

Hivyo wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanapatikana katika utaratibu huu wa bunge wa kuchaguliwa majimboni, Bunge wa viti maalumu, Bunge waliopendkezwa na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, wabunge wa kuteuliwa na Rais wasiozidi kumi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali naye ni sehemu ya wabunge.

SIFA ZA KUGOMBEA UBUNGE AU SIFA ZA KUWA MBUNGE

Sheria ya uchazi imeainisha sifa za mtuu kuwa mbunge Tanzania
Awe rai awa Tanzania
Awe na umri kuanzia miaka 21
Awe anajua kusoma na kuandika lugha ya Kiswahili au kingereza
Awe mwanachama wa chama cha siasa
we hana hatia ya kukwepa kodi

KAZI ZA BUNGE
kutunga sheria
Kuisimamia Serikasli
Kujadili na kupitisha matumizi ya Serikali
Kujadili taarifa ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali na kutoa mapendekezo
Kujadili mikataba ya serikali yenye maslai kwa taifa na kuiridhia mfano mkataba wa uwekezaji wa DP WORLD ulijadiliwa bungeni na kuridhiwa

JE HILI BUNGE LINAWATENDEA HAKI WANANCHI

Kwa kuwa shughuri zote za viakao vya bunge vina endeshwa mubashara hivyo wana nchi wana pata haki yao ya kusikiliza na kuona yanayo jiri bungeni.

Ni kweli Bunge linatenda kazi nzuri kwa kukidhi matarajio ya wananchi;
Mijadala ya bajeti na mapendekezo kwa serikali inafanyika kwa uhuru na uwazi;
Usikilizwaji wa kero na changamoto za wananchi, wabunge katika majimbo yao wanashiriki vikao na mikutano ya kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi.

Utekelezwaji wa ilani ya CCM mfano uwezeshwaji wa wananchi kiuchumi kupitia mifuko ya wa bunge majimmboni ili maarufu kama mfuko wa jimbo;
Diplomasia ya kibunge, bunge letu ni miongoni mwa mabunge yanayoshiriki katika Forum za Mabunge ya Kimataifa na Mabunge ya Jumuiya ya Madola.

Ziara za kamata za Bunge katika miradi mbalimbali ya serikali hii inawezesha miradi kutekelezwa kwa viwango vilivyotarajiwa.